Niko baa hapa nacheki hili gemu, goli la kwanza, nimesikitika sana. Goli tulilofunga nimevunja bia kwa hasira.. mpaka watu wananishaa leo imekuwaje, ama mimehamia Man city..!!!

Acha tu chief, tumebakiza game moja lakini martial ndio kawa mchezaji wa kwanza kufikisha double figure ya magoli EPL kwenye timu yetu kwenye mechi ya 37
Niko baa hapa nacheki hili gemu, goli la kwanza, nimesikitika sana. Goli tulilofunga nimevunja bia kwa hasira.. mpaka watu wananishaa leo imekuwaje, ama mimehamia Man city..!!!
Ongeza nyingine nitalipa haaa natania.
Binafsi napenda Man U wakomae wapate kushiriki Champions League ili hata usajili uwe mzuri kwakuwa wachezaji wana penda hayo mashindano pia.