Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kisha West ham wanashambulia utazani wao ndio wanatafuta Top 4

Huku UNITED wakipiga pasi nyingi on their own half kama vile wao ndo wametangulia. Tulitakiwa kufanya pressing za maana sio kutawala tuu mpira kwenye half yetu huku tukikaribisha mashambulizi. Sijui nani anaiharibu hii timu
 
Daaah, timu imekufa kabisaa kwenye kiungo, toa shened ingiza Carrick pale kabla hatujachezea la pili. DeGea anakazi ngumu sana aisee

BACK TANGANYIKA
 
kisha West ham wanashambulia utazani wao ndio wanatafuta Top 4

Mkuu, hawajamaa wanataka kucheza Uropa msimu ujao. Na hii ni mechi ya mwisho ktk uwanja wao, hata fujo walizotufanyia mapema wakati tukiingia pale ilikuwa ni kutuvuruga kisaikolojia ili wafanye yao kirahisi..

Tatizo wameyapata machezaji menyewe pamoja na kocha wao yapo tu hayajui kujiongeza..!! Poor Vgl

BACK TANGANYIKA
 
mbona wachezaji wa Man utd wanateleza sana...haya Top 4 inaota mbawa
 
Hii siyo Man U tunaijua,

Yaani Dakika 45 za kwanza wame attempt mara moja tena zero on target..!!! Pooor mbinu za Vgl

BACK TANGANYIKA
 
Uwa tunamdharau Carrick...lakini umuhimu wake umeonekana...Morgan peke yake kashindwa kubana spaces za West Ham kwenye midfield....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…