Manchester United (Red Devils) | Special Thread

We've done our bit, now Arsenal can do theirs!
Kubalini kuwa finally mmeikamata rasmi michuano ya europa league, hamna wa kuwakuta! Kesho etihadi ni droo, ECL msahau mwaka huu. Kiukweli, manu mmeniangusha sana kwa kushindwa kuitoa arsenal top 4, ndo ilikuwa tiketi ya wenger kuondoka kama angeikosa top 4.
 
Hata kama wakitoka droo hiyo kesho. Bado nafasi tunayo
 
Wakuu naomba kujuzwa, hivi ikitokea Liverpool akachukua Europa, ataathiri vipi top four kwenye kuingia ECL???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…