Wanaanza madharau hawa...kama alivyosema rubaman hawa baada ya misimu 2 watajikuta daraja la kwanza, kama Blackburn Rovers vile...hawana uwezo wa kuwabakisha Vardy na Mahrez...
Aah inaongoza kwa tofauti ya point nane mpaka sasa? Aah, inahiraji point mbili ili kutangazwa Mabingwa.... kweli!!!!????
Ama kwa hakika ligi ya England imeshuka sana kwa miaka mtatu hii ya mwishoni!!! Hawa jamaa hawastahili hata kuwemo kwenye top ten, eti ndo mabingwa sasa, daaaah... INAUMA
Wanaanza madharau hawa...kama alivyosema rubaman hawa baada ya misimu 2 watajikuta daraja la kwanza, kama Blackburn Rovers vile...hawana uwezo wa kuwabakisha Vardy na Mahrez...
Waache wa-enjoy the 15 minutes mkuu. Utawaona watakapoishia msimu ujao kama sio 19 or 18 position. Ubingwa unaweza kuwa the Blessing and the Curse kwao. Mnakumbuka kilichowatokea Portsmouth "Pompey" baada tu ya kubeba FA CUP timu ikashindwa hata kulipa wachezaji mishahara yao.
Ila ni bora Leicester wachukue kombe ili timu zingine zijipange, maana hii ni fedheha. Timu budget yake ni sawa na wachezaji wawili wa man u au man city lakini imekomaa hadi kukusanya hizo points.
Msimu ujao tutaona mabadiliko japo kidogo, kuna michezaji mingine inademand pesa nyingi lakini kujituma uwanjani haitaki kabisa.
Bora wachukue tu kombe lao labda hizi timu zingine zitaamuka.
Naona leo monkey united mmekaza utadhani msimu bado sana kuisha. Hongereni kwa pointi 1 si haba .... naona hadi legend wenu alikuwepo jukwaani kuwaangali leo
Naona leo monkey united mmekaza utadhani msimu bado sana kuisha. Hongereni kwa pointi 1 si haba .... naona hadi legend wenu alikuwepo jukwaani kuwaangali leo