Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dohhhh mpka dakika ya 70 nilikuwa na matumaini yaani dakika 6 zimeharibu kila kitu. ......doooihhhhhh!!!' ......still we are the United....please Man U next ni Aston Villa make sure anakufa kwa udi na uvumba.......
Hahaha sijui nisemaje lakini ngoja nitangulize pole ..... Mtani pole sana
 
Via TOP FOUR tunaisaka kwa spot light kwiiiii kwiiiii sisi ndio sisi wengine....!


Tupeane ratiba ya mazishi waungwana maana majirani ni kisaidiana kwenye shida na raha.
 
Kweli. Dogo Mensah alivyotoka tu, Spuds ndiyo wakapata nafasi. Na kudos kwa kocha wao kwa ku-spot udhaifu wa Darmian na ku-capitalise kwenye hilo.
 
Doh! Kwa hiyo Sunderland wanacheza vizuri kuliko United?
wanajituma sana ila awana uwezo...United wachezaji hawajitumi angalia goal la kwanza leo au la pili ni uvivu wa wachezaji ndio umesababisha kufungwa
 
Kaka hivyo ni visingizio tu and in short ManU timu mbovu kocha mbovu
Braza ni kisingizio kivipi wakati baada ya Mensah kuumia goli zote tatu zimetokea alipokuwa? Na hadi anatoka dogo alikuwa amefanya 100% clearances...hivyo chances za yeye kuzuia crosses na foul zilizosababisha magoli zilikuwa kubwa kutokana na alivyocheza kabla.

Ingawa ni kweli kwamba hapa naongea kwa kufikirika zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…