Hahhahahhaha nashabikia nafuatilia matokeo yao? Mchepuko Wangu wa ukweli ni Barca peke yake.....Baki huku huku haiwezekani ushabikie Man u
Barcelona
Juventus
Chelsea
Leicester
Huu sio ushabiki
Mimi nafikiri hoja isiwe ni wacheaji wangapi kutoka academy ya Man Utd wamekuwa world classic,hoja ni je kati ya hao walioalishwa na academy wamewea kuisaidia timu.kwangu mimi naona kwa asilimia kubwa wengi wameisaidia timu yetu mbali na class of 92.....Apart from the class of 92 ni world class player gani ambae academy yetu imeweza kuzalisha? ukiachana na pogba ambaye hatujamfaidi.
Hata mimi naamini hivyo 100%Only mourinho can save us.
Tunaombeana mabayaMatch Prediction.
Spurs 3
United 1
And vice versa is trueMatch Prediction.
Spurs 3
United 1
Leo spur anakufa bila ubishi tena pale pale kwaoTafadhali sana jamani msiifanye kazi ya Ranier ikawa ngumu sana hebu wazuieni Totts maana nina kajezi kapya ka-kings power
Hawana uwezo wa kumfunga Tottenham...ngoja nijongee kibanda umiza leo nipate mautani.Tafadhali sana jamani msiifanye kazi ya Ranier ikawa ngumu sana hebu wazuieni Totts maana nina kajezi kapya ka-kings power
HahahaaaaaHawana uwezo wa kumfunga Tottenham...ngoja nijongee kibanda umiza leo nipate mautani.
Yani ulichokiomba ni sawa na kumuomba Pastor akusomee albadir...
Tulishamfunga tayari game ya kwanzaHawana uwezo wa kumfunga Tottenham...ngoja nijongee kibanda umiza leo nipate mautani.
Yani ulichokiomba ni sawa na kumuomba Pastor akusomee albadir...
Naongelea ya leo...Tulishamfunga tayari game ya kwanza
Wamesongeza kwa dakika 15Our game is delayed