Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Braza, nenda kajifunze vizuri kuhusu timu unayofikiri unaishabikia. Yaani unasema suala kukuza vipaji siyo philosophy ya #ManUnited? Unaongelea kuongezeka kwa watazamaji uwanjani, huku ukisahau miaka 10 iliyopita OT ndiyo uwanja unaongoza kwa kuwa na 'full stadium' mara kwa mara. BTW kuna mpango wa kupanua OT ili iwe na 80k seats capacity. Toka lini mauzo ya jezi yamepungua kiasi kwamba ati Maureen ndiyo aje kuyaongeza? Alivyokuwa Rent boys mauzo yao yalipita ya #ManUnited hata baada ya SAF kuondoka?
Kwa ujumla nina mashaka na 'ushabiki' wako...
 
Mou hana cha kumfunika SAF bado sana.. Man united haitauza jezi kwa sababu ya uwepo wa mourinho timu imeshajiestablish kwenye ramani ya soka duniani kwa sasa.. Suala la kukuza vipaji ni muhimu kwa klabu kwa mfano hawa vijana waliopo united kwa sasa mfano mzuri ni lingard ambao wakiwa kwenye peak watauzwa kwa bei nzuri mapato yanaongezeka. Mourinho ni kocha mwenye ready made players ambao atawachosha baada ya misimu 2 wanakua magarasa hasara kwa klabu mtazame hazard anavyopigana kuinua kiwango chake ambacho alidaiwa kuwa bora kuliko cr7 na kocha unaedhani "atamfunika SAF" nina wasiwasi na ushabiki wako kwa united
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…