So what are your wishes?Kufundisha utd kwake ni kama ngekewa, since SAF era jamaa anaota kuja kutumia OT kama uwanja wa nyumbani, sidhani kama ishu ya top itakua itahusika sana hapo
According to many reliable sources jamaa inaonekana kama tutakua nae msimu ujao (hasa endapo hili bepari la kidachi likishindwa kutupeleka top four) and our happy days will be backkkkkkk,
Umerudi ?So what are your wishes?
(a)mkose Top four? kwa expense ya kumchua Mou
au (b) Muingia Top four abakie LVG
hii multiple choice chagua moja..
Alafu bepari linawaingiza Top 4 hili kama masikhara masikhara
Nipo jibu iyo Multiple choice nimempa HerreraUmerudi ?
Tunasonga na fixtures yetu ngumu i wish tungekuwa bado hatujacheza na nyie
Lolote litakalotokea,cha msingi tupate 1striker ,1 winger,1 CB then Fellaini,Jones wauzweNipo jibu iyo Multiple choice nimempa Herrera
unataka UCL same time unajua ukiipata Mou Haji...
ni Dillema fulani ngumu sana
Kwema chief? Hongereni kwa ushindi wa Jana.So what are your wishes?
(a)mkose Top four? kwa expense ya kumchua Mou
au (b) Muingia Top four abakie LVG
hii multiple choice chagua moja..
Alafu bepari linawaingiza Top 4 hili kama masikhara masikhara
[emoji15] [emoji34] [emoji36] [emoji11] [emoji11]Wakuu nimebet Lukaku anatupia 2 msiniangushe kwa hili
Nitarudi kuwapa pongezi mkishinda, niwatakie mechi ya ushindani siyo boring football skills
Acha mambo yako.Wakuu nimebet Lukaku anatupia 2 msiniangushe kwa hili
Nitarudi kuwapa pongezi mkishinda, niwatakie mechi ya ushindani siyo boring football skills
PoleWakuu nimebet Lukaku anatupia 2 msiniangushe kwa hili
Nitarudi kuwapa pongezi mkishinda, niwatakie mechi ya ushindani siyo boring football skills
GGMUM
A
S
H
E
T
A
N
I
T
U
M
E
M
U
N
G'
U
N
Y
A
T
O
F
F
E
E
Haters jitokezeni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]