uzuri wenu ni kwamba mtachezea wote lakin sio Man U. so hata mbebe ubingwa inakuwa ni kwa uzembe wa timu nyingine ila sio man u. sisi tuna perform task yetu ya kuwachapa tuu kila mkija ni za uso teh teh
Wale wenzetu wa mtaa wa pili hali c shwali jaman, tujtaid kuwatia Moyo maana yale matumain yao ya kupona lile gonjwa lao la Mende kujaa kwny kabat limekosa tiba..