Ni sawa kabsa herera upo sahihiImetengenezwa baada ya game ya juzi, kama ilivokua kwa McNair baada ya game ya kwanza ndio ikatengenezwa,
Hata ukiangalia reference zake zote ni Feb 25/26 2016, isipokua moja tu ya Feb 22 ya soccer base.
Tunakufunga......
Asante sana pole na wew....
Ila tulishaanza vibaya kwakufungwa asubuh asubuh na nyota njema huonekana asubuhi
Kwa mujibu wa stats za msimu huu "YES"Haaa haaa P Cech ni mzuri kuliko De Gea ?
Timu kubwa huongelewa na kila mtu duniani...Nawasikitikia man u kwa msimu huu watamaliza chini ya westham, soton, na Everton. Sijaonani kwa namna gani mnaweza kuwa juu ya hizo timu. Angalia fixtures zenu zilizobakia
Hapo game rahisi ni dhidi ya westbromwich Albion. Hizo nyingine jasho litawatoka. Bye bye UCL bye bye Europa league.
Hahahaha umepotea sana
Naona tumekutana tenanipo mkuu ......
Kama kawa mteja Kwetu ni Mfalme........nimekumissijeeee???
time hii tunawadhalilishaNaona tumekutana tena
Sina neno mie. Nawait hiyo siku tut
time hii tunawadhalilisha
Sina neno mie. Nawait hiyo siku tu
Mimi sitakimbia, usije kimbia wewe tumuhimu usikimbie mkuu
Mimi sitakimbia, usije kimbia wewe tu
Hahahahaha angalie msije mfukuza huyo klopp wenumjiandae kulikimbia jukwaa maana klopp hawaachi safari hii