kashengo kale katimu ulikosema kameanzishwa sijui 1995 kalikotutia aibu tumekaweka mahala pake. 5-1 tena kwa kupanga vitoto ambavyo havijawahi kucheza senior level. Sasa jaribu na nyinyi kupanga vitoto tena vs Hull City muone kitakachowapata.
Vile vile mkishindwa kuwatoa Barcelona(kwangu mimi bado mnanafasi ingawa kocha wenu kasharusha taulo jeupe) mnaweza kuwa mnatuangalia tukicheza siku za Alhamisi maana mtakuwa hamna mechi katikati ya wiki.
Are you serious? 20yrs old with 10 goals msimu wa kwanza......thierry henry alikuwa na magoli mangapi msimu wa kwanza Arsenal?
Hahahaha umepotea sananaona siku hizi unaweka hadi picha mkiwaotea vibonde
Mimi ndo nimemjua jana.Hata siamini nnachoona!!!! Huyu rashford wamemtoa wapi huyu???
Tunakufunga......Ingekuwa ni dharau ya mwaka kale katimu kuwatoa sio siri mi kama arsenal sijafikia kuwa na roho mbaya kiasi hicho, mpotee ila walau msipoteze mazima maana ushindani na utani utakuwa hakuna kbs
Forget about UCL huwez kwenda kushinda 3-0 camp nou, lets focus on Sunday's game
what is your prediction?
Kama kawa mteja Kwetu ni Mfalme........nimekumissijeeee???Ndiyo mwisho wenu hapo
Nimempenda bureeeeeee!!!!
Hahaha lazima.Nimempenda bureeeeeee!!!!
Haters hamuishiwi maneno walivyotupiga 2-1 mlikesha humu mkitusema tukaonekana vilaza Leo wamekula tano nothing special mweeee!!!!!........... nothing special, hata Aston Villa ingewafunga tu hawa wachovu
Khee Dada naona Jana.....mambo yaliependezaa saanaHaters hamuishiwi maneno walivyotupiga 2-1 mlikesha humu mkitusema tukaonekana vilaza Leo wamekula tano nothing special mweeee!!!!!........
Marcus Rashford - Wikipedia, the free encyclopediaDogo wa academy, hana hata page Wikipedia
Sanaaaaa kaka umemuona Rushford?Khee Dada naona Jana.....mambo yaliependezaa saana
Kuwa na magoli 10 msimu wa kwanza sio tija. Ni kitakachomata ni ataendeleaje baada ya hapo.
i aint Sheikh YahyaIngekuwa ni dharau ya mwaka kale katimu kuwatoa sio siri mi kama arsenal sijafikia kuwa na roho mbaya kiasi hicho, mpotee ila walau msipoteze mazima maana ushindani na utani utakuwa hakuna kbs
Forget about UCL huwez kwenda kushinda 3-0 camp nou, lets focus on Sunday's game
what is your prediction?
Imetengenezwa baada ya game ya juzi, kama ilivokua kwa McNair baada ya game ya kwanza ndio ikatengenezwa,
Ndipo utagundua chuki inaua mara ooh katimu kameanzishwa mwaka 99 kamewafunga mara sikushangaa maana hata Aston villa wangewafunga yaani kwao haters moja haikai mbili haionekani ila tuwavumilie man u historia yake inajieleza haihitaji usaidizi.Haters hamuishiwi maneno walivyotupiga 2-1 mlikesha humu mkitusema tukaonekana vilaza Leo wamekula tano nothing special mweeee!!!!!........