Nzi na Belo nasikia kina Charlton, Gill na Fergie mwenyewe wapo against na suala la Mourinho kutake over utd, inaonekana wanampigia debe Giggs behind the scenes..
inaonekana kuna ukinzani wa power nyuma ya pazia...
Kama unaona Mou hafai kuichukua na kuimanage traditional club kama utd, basi itabidi uangalie options nyingine imara zaidi, na siyo Giggs, kumpa kazi Giggs ni kuizamisha kabisa utd..
EW na wenzake wakomae mpaka mwisho Giggs asichukue team..