Tumeshinda lkn tumecheza mpira mbovu sana leo,laiti Liverpool wangekuwa makini kidogo ktk umaliziaji tungekuwa tunaongea mengine leo.Bado najiuliza kwanini Van Gaal aliachana na akina Rafael Da Silva,Di Maria na Chicharito?Timu imekuwa dhaifu mno kupita maelezo.