What a game .... .. Manure were up (2-0), were pegged back to 2-2 then Manure went up 3-2 Magpies levelled at 90min ...... ndio EPL hiyo lakini MD hafai kuwa refa.
BTW west ham wameshinda mechi yao hivyo wapo juu ya manure kwa point 1
Chief leo mmeonyesha mpira wenu wa zamani ingawaje defending ndio zimewalostisha.. LVG atawarudisha top 4 hivi vitimu vyingine Spurs, West ham United na Leicester City vitarudi chini February.