Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Great performance....at least players showed the intent and played almost like how #ManUnited players should play....one thing that I have noticed (I might be wrong) is that LvG has given up, he seems to have had enough...
 
Great performance....at least players showed the intent and played almost like how #ManUnited players should play....one thing that I have noticed (I might be wrong) is that LvG has given up, he seems to have had enough...
Kiukweli leo siyo mbaya penye haki tuseme haki tatizo tu huyu mzee ubishi ila matatizo yake ni madogo sana angekubali kurekebisha hasa kipindi kile cha usajili tusingefika tulipo, kiu kweli amegive up hata kuongea kwamba yupo tayari kuresign ni dalili tosha naskia hata jana mazoezi ya asubuhi hakuwepo.
 
Attack Attack Attack hata konokono Chelsea hamuwezi kumtandika ILA Chelsea walikuwa hoi.
My kaka mi leo kura yangu niliwapa Chelsea nilijua kabisa hatuchomoki kumbe ndo vibonde haswaaaa, na leo ndo walisema eti waanza ligi na sisi mweeee!!!!!
 
Siku zote Herrera, Mata na Morgan wakianza kwenye mechi, timu ucheza vizuri...sielewi kwanini uwa haiwi hivyo siku zote, hususani wanapokuwa fit....ila huyu Depay, nafikiri anapaswa kuendelea kukaa benchi kwanza..he has potential, lakini inabidi akue, yaani ni mkubwa kuliko Martial, lakini ana mambo ya kitoto kuliko Martial...Martial anacheza kama vile an established world class player...timu inapaswa kujengwa kwa hao wachezaji watatu...pia leo naona Bastian alichoka kipindi cha pili, nilitarajia Carrick angeingia kwenye dakika za 70 au 80....anyways, ngoja tuone dhidi ya Swansea itakavyokuwa....
 
Naona kafurahishwa na jinsi wachezaji walivyoonyesha spirit ya kumpigania leo...hivyo kasema hakuna haja ya yeye ku-resign...
 
With all due respect,tangu LVG leo ndiyo nimeona Man Utd wamecheza mpira hata kama tumedroo,unaona kabisa inatafuta magoli tofauti na ilivyokuwa huko nyuma.Kama hali ingekuwa hivyo tangu mwanzo basi leo tungekuwa tunazungumzia mengine.

#LVGOUT
But SAY NO TO MOURINHO
SAY NO TO GUARDIOLA
 
LvG: "Everybody has seen what they have
seen. My relationship with the players,
staff and board is very good. There is no
reason to sack me"

"I am fully confident in the board
and my players. There is no reason to
resign."

#f*ck off
 

Nilivyoona line-up tu nilijua tutashinda....kwanini huwa hapangi timu hii?! Timu iko balanced ina flow vizuri....sasa mechi tulizopoteza alikuwa anapanga timu hovyo hovyo ndio maana nilikuwa na naombea wamfukuze tu hana maana.

Lakini tuache utani ANTHONY MARTIAL is talented...dogo yuko vizuri,kamkimbiza ivanovich balaa
 
Nilivyoona line-up tu nilijua tutashinda....kwanini huwa hapangi timu hii?! Timu iko balanced ina flow vizuri....sasa mechi tulizopoteza alikuwa anapanga timu hovyo hovyo ndio maana nilikuwa na naombea wamfukuze tu hana maana.

Hapo ndipo naamini LvG anakumbana na upinzani....mwanzoni mwa msimu alikuwa akiwapanga hawa wachezaji, na matokeo yalikuwa mazuri...ila alipoanza tu kuvuruga timu na kubana uhuru wa wachezaji, mambo yakaenda kombo....kama ataendelea kubaki hadi mwisho wa msimu, nafikiri bodi inabidi ijadili naye upya juu ya philosophy yake, hususani katika kuwabana wachezaji...wachezaji kama Mata, Rooney, Herrera na Martial wanapenda kucheza huru uwanjani, na siyo ku-stick kwenye positions zao kama vile watoto wa miaka 5 wanaojifunza kucheza soka...

Lakini tuache utani ANTHONY MARTIAL is talented...dogo yuko vizuri,kamkimbiza ivanovich balaa

Dogo Martial ni balaa...yaani huyu mtu akipata striker atakayetengeneza naye partnership nzuri, huku Herrera na Mata waki-supply passes, hatashikika...yaani dogo ni bargain kabisa, Monaco inabidi wadai pesa zaidi...
 
But SAY NO TO MOURINHO
SAY NO TO GUARDIOLA
Hakika. Mimi sielewi juu ya watu kutaka mpiga domo aje OT. Yeye huyu kama kuja, ni iwe the last resort....lakini kamwe asiwe first choice...leo kwenye game, umesikia commentator mmoja kaongelea ati Mark Hughes anaweza kuja OT...yaani hawa watangazaji wengine, kupata two straight wins, Hughes anaonekana kocha mzuri....hawa waingereza wana matatizo....kiukweli kama LvG akiiacha timu ikiwa stable, I would prefer Pep kuja kuchukua timu, huku akiendelea kufanya kazi na Giggsy, ambaye atachukua mikoba baadaye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…