Yani mechi za kufungwa anakaza mechi za kijinga ndo tunafungwa. Game za karibuni zote zilikua za kushinda lakini hamna kitu Ashley Young ndo mchezaji pekee kwa sasa mwenye uweze wa kutengeneza nafasi za kufunga kwa kuwa cross nyingi ambazo hata mabeki wanaweza kujichanganya wakajifunga lakini hapangwi na akipangwa anawekwa beki wakati mabeki wamejaa bench. The same kwa Valencia wakati yupo fiti hapangwi hadi mabeki waumie ndo akazibe nafasi. Tumu haiwezi kupata ushindi bila kutumia mawinga wanaopiga cross tutawalaumu bure washambuliaji hasa Rooney kuwa hawafungi wakati hawatengenezewi nafasi nzuri wanapangwa pembeni wanapiga tu chenga na kuingia na mpira katikati badala ya kutanua uwanja