Tutapambana mkuu siyo lazima wote tupitie kupotea huko,ila juhudi nayo inalipa tutakaa Sawa tu......halafu leo tupumzishe buana jamvi la tanga tushalianua hili tumelipeleka Anfield angalia nawe lisikukute.
Top 4 mnaweza ingia tena saafi kbs
mlichonacho mmepush "Panic" Button
Kuingia ni kusaka point kuanzia 65 kupanda....kitu ambacho mnaweza
sema mpaka mbadilike na inawezekana kbs
Afu Belo ubingwa unaosema ni upi? mmenunua wachezaji 7 msimu ulioisha wengine kadhaa....kupata hata First Eleven ni Ngumu, ukiachia mbali Stability, akija mwingine nae atafumua fumua timu atengeneze yake (itachukua tena msimu mzima)
asee haya tupo hapa.....Mfano uchukueni kwa Real madrid wamefukuza makocha wengi wamenunua wachezaji wengi sana ila miaka yoote hiyo LA LIGA MOJA tu
UCL moja toka 2007
Just a rumours bro, kwa hali ilivo pale utd kila mtu atataka kuongea lake ili avute attention ya watu na kupata kick, ila class of 92 ndio wanampigia sana chapuo mou kwamba aje kufundisha, but sioni van gaal akimaliza msimu huu akiwa bado kocha wa utd, next game britania stadium hatuchomoki
[/color]
My kaka japo hali mbaya ila huwa sikiri kushindwa.... hivyo hivyo tutachechemea tu na kuchomoka.
Ha ha ha ha mi wala hata siwafanyii masikhara kivile mi nawapa ukweli ambao Nzi anauona
ngoja niwapumzishe tusubiri game yetu na City kesho
[/color]
My kaka japo hali mbaya ila huwa sikiri kushindwa.... hivyo hivyo tutachechemea tu na kuchomoka.
Naelewa best unachoongea ila sasa uvumilivu huu mpaka lini? Haya mambo mnayaweza nyie Arsenal bana!!!...Makosa ya LVG ni madogo sana raiti angerekebisha tungekuwa bonge la timu tungetisha mbaya msimu huu, kosa alilofanya kutosajili striker na CB wa maana kwa kiburi kabisaaa matokeo yake siku za mwisho ndo Anazima moto na Martial, kijana ni mzuri ila sasa hapewi uhuru matokeo yake kijana anaonekana Useless.
Next week......halafu Shem wangu huku uwe unakuja na faraja mwenzio napumulia mashine. ....Ha haaa huko britania stadium mnaenda lin?
Dada angu ule uwanja ni mgumu mno hasa kipindi kama hiki, ni eneo lenye baridi na upepo mkali sana ( nadhani kuliko maeneo mengine ya england) hyo inawapa shida sana wachezaji wa timu pinzani, jaribu kukuangalia city alivokula za fasta pale, still walikua wanaomba mpira uishe, bora tungeenda mapema mwanzoni mwa msimu kabla ya haya majira, msimu uliopita tulishinda 2-1 (kama sikosei) ila tilitafutwa balaa,
Ila ngoja tusubiri siku yenyewe
Hahahahahahahahahahahaha #consolation
Next week......halafu Shem wangu huku uwe unakuja na faraja mwenzio napumulia mashine. ....
Haya kimeshanuka tena Van gaal kapewa mechi moja dhidi ya stoke city akichemsha anasepaa.......