Nope, hali halisi ya sasa, na upatikanaji wa managers kwenye market utafanya iwe ngumu kumfukuza..kumuachia kazi Giggs kuanzia sasa mpaka may ni gamble kubwa.
LFC walimfukuza Rodgers baada ya kupata uhakika wa availability ya Klopp, Mourinho board ya Chelsea ilikuwa imekubaliana tangu muda kumpiga chini, lakin kutoelewana/kukinzana kwao kuhusu short term replacement ya Mou ndo ulikuwa utata, na mwisho wa siku wameamua kumrudisha Hiddink ambaye track record yake hairidhishi tangu alipoondoka chelsea 2009,
Owners lazima watakuwa hawaridhishwi na mwenendo wa team, lakin kumpa team (MANCHESTER UNITED) Giggs kwa round ya pili ya msimu MZIMA ni kujihakikishia kumaliza nje yaTop Four, Giggs ni legend, but bado hawez kuhimili demand za matokeo za mashabik, pundits, journals, board na owners...kama unamfukuza LVG leta short term replacement yenye uzoefu wa kuhimili pressure, team ipo kwenye transfomation so kumfukuza kocha kwa mda huu bila suitable replacement inaweza ikaharibu/kuimarisha team ni 50/50.
Kitu kikubwa kinachowakoseha utd, ushindi, ni kuLimit STs kurun behind opponents defence, ndo maana Man utd wapo short sana katika off-sides msimu huu, kwa mfumo huo hata Suarez angestruggle Utd, Klopp/Wenger wangekuwa na Martial kwenye attacking system yao wangenufaika sana na huyo dogo, ana pace, power, he can create chances, Assist, Hold up play yake ni good, and he can score goals, mpe uhuru usimLimit, hata Rooney ni Victim wa hiyo formation, hajazoea kuattack direct, hajazoea kucheza bila kuanzisha movements upfront, hence anajikuta yupo Limited, na ndo maana Utd wanakuwa butu katika kuattack.. kama haurusu movements upfront hauna haja ya kumuanzisha Carrick, manake Carrick nae kawa Limited sana sahiv, akicheza Herrera team inakuwa na Fluid and space zinaachia kirahis, na team ikiwa na fluid ya kwenda mbele possession inakuwa ndogo, na hicho kitu ndo ambacho LVG hakitaki, coz anaamini best way ya kudefend ni kuwa na possession, lakin ubaya wa kupossess mpira muda mwingi, ukipigwa counter tu ushafungwa, una De Gea, Smalling, na una 2nd hold Mid ambaye ni mzuri sana (Morgan) huhitaji kujihami sana kwa kumilik mpira hovyo...akienda na hii mbinu britannia, utakuwa ni msiba mwingine.