Ungesema leicester waipige chelsea ningekuelewa, unachotaka hapo juu will come to haunt you come March! Mpinzani wa top four bado ni chelsea, liver, tottenham, sioni leicester city wakiwa hapo mpaka March! Tusubiri wiki ya tatu ya januari tutaona mbivu na mbichi, mchele utajitenga na chuya! Kuna tight schedule ya Xmas na new year, hapo ndo wasindikizaji huishiwa pumzi!