Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hahahahahaha............. van gay kapagawa na Europa kaamua kumwaga lazi.

Hahahahaaa ENZO umewazimisha wato wale wakaanga sumu..... Wamekula kona mbaya...... Leo umenivunja mbavu ENZO

Wakaanga sumu walitaka kuja kwetu km tungefungwa..... Wamepotea wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa ENZO umewazimisha wato wale wakaanga sumu..... Wamekula kona mbaya...... Leo umenivunja mbavu ENZO

Wakaanga sumu walitaka kuja kwetu km tungefungwa..... Wamepotea wenyewe.

hongereni mkuu
 
Last edited by a moderator:
Nachikia mmesusa .... ... .. .khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee pamoja na invitation zote nilizotoa jana khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee losers .... .
 
Sadly.....get well soon Smalling...
 
.............And one win in Thursday hahahahahaha.............

Dogo unatafuta ban wewe hata sisi tuna picha mbaya sana za Manager wenu ila kutokana na maadili hatuziweki hapa, uwe unajiongeza dogo na uwe na busara sasahivi wewe ni matured enough.
 
Hahahahaaa ENZO umewazimisha wato wale wakaanga sumu..... Wamekula kona mbaya...... Leo umenivunja mbavu ENZO

Wakaanga sumu walitaka kuja kwetu km tungefungwa..... Wamepotea wenyewe.

Sikutegemea na wewe Pastor unaweza kushabikia upuuzi huu hivi mnafikiri sisi hatuna picha chafu,this is too much aisee! !!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha hayo majani tu yaliyobarikiwa na mwenyezi hayahitaji leseni. ........

Aiseeee Arushaone karibu sana, mi ni Man U damu huko kwingine huwa napasha joto tu....siku moja moja uwe unaonekana humu tutiane joto.

One love!!
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha .............. leo si ndio alhamis, manure wanacheza saa ngapi vile?! mana nimechoka kuangalia Futuhi tu kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…