Baeleze bana mpira wao siku hizi wa kuungaunga tu tangu alipoondoka mzee wa Brown envelopes chacha wanalialia tu , Umemwona Fungi alikuwa jukwaaani machozi yanamtoka khe khe he khek hek hekhek he kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Naomba matokeo ya man u
#GGMU all the way.....mnaotaka LvG atimuliwe sasa...ebu leteni chaguo la kocha aliye huru sasa....I would still go with LvG until the end of the season for stability...otherwise, ukileta kocha mpya sasa, ni kuleta risk ya kuondoa hata stability kidogo iliyopo sasa....najua kila mshabiki amechukia timu kutolewa UCL...lakini kumtimua LvG sasa wala haitosaidia....let's wait and see mwisho wa msimu mambo yatakuwaje....then I would go for Pep or Carlo, though I prefer Pep more...
Hopp #ManUnited
man u mrudieni mungu ,
Hahahahahahaah tulieni sindano iwaingie
Ulinikimbia jmosi mpka leo umemute tu .........usiwe unakimbia sindano zangu basi........
Ulinikimbia jmosi mpka leo umemute tu .........usiwe unakimbia sindano zangu basi........
Sindano zako nimegundua haziumi
Anapaswa kuchukua EPL otherwise hastahili kuendelea kufundisha hii timu next season.Bado sidhani kama Pep ataondoka Bayern msimu huu,ngoja tuone Gary Neville atafanya kule Valencia
Baki huku huku
Kweli. Ndiyo maana nikasema, tuone msimu utaishaje. Siyo EPL tu hata Europa Cup itakuwa siyo mbaya, ingawa shida ya Europa League ni fixtures kuwa nyingi na Alhamisi, yaani siku mbili kabla ya mechi za EPL Jmosi au Jpili. Kama FA wakikuonea huruma, wanakupangia mechi za J3 usiku.Anapaswa kuchukua EPL otherwise hastahili kuendelea kufundisha hii timu next season.Bado sidhani kama Pep ataondoka Bayern msimu huu,ngoja tuone Gary Neville atafanya kule Valencia
Baadaye tupo wote......wee katoto mi najua uko maeneo fulani unajidai kumbeee......lol
Amin Amin nakwambia kesho utakuwa nami Europa.......ding dong ding.....
Anapaswa kuchukua EPL otherwise hastahili kuendelea kufundisha hii timu next season.Bado sidhani kama Pep ataondoka Bayern msimu huu,ngoja tuone Gary Neville atafanya kule Valencia
Kweli. Ndiyo maana nikasema, tuone msimu utaishaje. Siyo EPL tu hata Europa Cup itakuwa siyo mbaya, ingawa shida ya Europa League ni fixtures kuwa nyingi na Alhamisi, yaani siku mbili kabla ya mechi za EPL Jmosi au Jpili. Kama FA wakikuonea huruma, wanakupangia mechi za J3 usiku.
Bora nilifanya maamuzi a kuutumia usiku wangu kwa kulala usingizi mtamu kuliko ningeenda kuangalia ujinga wa Van Gal.Nadhani mpaka sasa watu watakuwa humu ndani watakuwa wameanza kunielewa kwanini nimekuwa nikimpinga sana li-mtu linaitwa Van Gal,serious i wish hata kwenye ligi tumalize below top ten ili huyu jamaa atimuliwe tuu.
SHAME ON YOU VAN GAL
SHAME ON YOU MAN UTD
#LVGOUT
Better Moyes than this silly LVG
Matokeo yanasema ngapi ngapi Mkuu!!??Angalia matokeo sasa kwenye ubao.