Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe nawe Wacha fujo kila mchezo wetu mtegemea cha nduguye.......kheeeeeeee usinitukane hujavuka mto kesho utakuja nilipo.......kheeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:

Smalling .... injured ... .

PSV Eindhoven's Luuk De Jong equalises
for his side against CSKA Moscow

Fungie anatoa chozi la damu
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Van Gaffe hata kuangalia hataki
Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Sawa shabiki wa The Mandaz ..kesho tutakinukisha kwenu
 
Mi naona kama anataka kuweka kisingizio fulani kwamba hayo ndo matokeo ya attacking football,....Leo ukiangalia vizuri style ya uchezaji imebadilika....

Kwa hili group hatukupaswa kusubiri hii game ya mwisho ku-qualify .Leo ilipaswa tucheze ku-maintain nafasi ya kwanza
 
Wewe nawe Wacha fujo kila mchezo wetu mtegemea cha nduguye.......kheeeeeeee usinitukane hujavuka mto kesho utakuja nilipo.......kheeeeeeeeeeeee

Hama timu tu chacha si umeona hata Fungie akitoa chozi la damu. Sisi kesho ni kuwachapa tu hawa wagiriki ... ... Ding ...Dong
 
Sawa shabiki wa The Mandaz ..kesho tutakinukisha kwenu

Karibu sana mkuu raha ya mpira ushabiki bana ..... ..... .... ..... .. khe khe khe khe khek hek heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee fukuzeni huyo Van Gaffe tangu lini mkategemea marowani afunge goli au Young Diver afanye defence ya uhakika. Majuto mjukuu.

Wazee wa ali hamisi khe kh ekhe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa hili group hatukupaswa kusubiri hii game ya mwisho ku-qualify .Leo ilipaswa tucheze ku-maintain nafasi ya kwanza

Kweli mkuu.....lkn ndo ishakua taabu
 
Kwa hili group hatukupaswa kusubiri hii game ya mwisho ku-qualify .Leo ilipaswa tucheze ku-maintain nafasi ya kwanza

Absolutely tungecheza style yetu tu,ila ukiangalia ni kama vile ameambiwa lazima achezeshe attacking football na yeye amejihami.......what I like today I recognize Mata is Natural number 10.
 
Hama timu tu chacha si umeona hata Fungie akitoa chozi la damu. Sisi kesho ni kuwachapa tu hawa wagiriki ... ... Ding ...Dong

Amin Amin nakwambia kesho utakuwa nami Europa.......ding dong ding.....
 
Can you come back and analyze what went wrong...please?!
Binafsi game sijaangalia, nimeona tu results.
 
haya wa Europa, alhamis mtakua mnajadili timu yenu wenyewe, sisi tutakua tunaangalia FUTUHI.

#pray for manure

Asante ,maana jumamosi ndo tutakuwa tutashuhudia ukishuka daraja kabisa.......shikilia hapo hapo ulipo UCL ila Sadly hutafika mbali utatoka 16.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…