Hao Marseille walikuwa wanacheza kama wanataka draw tuu, ila refa naye amebottle some calls....Pheeeeeeeew! asaval.
Pheeeeeeeew! asaval.
Hao Marseille walikuwa wanacheza kama wanataka draw tuu, ila refa naye amebottle some calls....
All in all its not a bad results ukizingatia engine room yetu ilikuwa inaongozwa na watu kama akina Gibson. Chris Smalling atakuja kuwa defender mzuri sana hapo mbeleni
mkuu 2008 tulitoa sare ya 0 - 0 na barcelona ugenini na walivyokuja ot tukawaotea, ila 98 tulitolewa na monaco baa ya kudraw nao kwao.. All in all nina matumaini na mechi ya marudiano as long as tutacheza vizuri na kutokuconcede zaidi ya goli moja.Nachukia sana sare ya bila goli, ugenini........gem ya OT itakua so tense....its actually scary mkiwa mnaongoza moja bila....halafu mda ndo unaishia.....
Peasant
VDS ndo kazi yake hyo, mshahara wake wa wiki analipwa kwa kai hyo, though leo tunavuja sana kwa Oshea.
As far as am concerned mchezaji wangu bora so far naseema ni Vida.