Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

uploadfromtaptalk1448116742544.png
 
Watu weeeeeeeeeeeeeeee weekend imekuwa pouwa sana!!!! Leo kwa raha zetu tunawatazama majurani zetu.......yaani raha tupuu
 
Dah! Angalau tumeondoka na points 3...mmeona jinsi Herrera alivyo-go 'barmy' kushangilia goli la pili? Jamaa ndiyo maana mashabiki wanampenda, anaipenda timu..na hata akipigwa benchi halalamiki....na ameshasema anatamani siku moja akae kwenye jukwaa la mashabiki kwenye mechi za ugenini, kwa maana away fans wa United siku zote hawachoki kuishangilia timu..
 
What a relief!!! Yani penati ilivojibu nilinyweaje!!! Nilimhurumia sana kipa manake alishasevu magoli mengi sana, hureeeeeeeeeeeeeee
 
Leicester wamenishinda kwa kweli, na hili gap la point moja moja nalo ni tabu tupu
 
Back
Top Bottom