Yani ni mtihani mwingine
1 kati ya mechi mbovu kabisa epl msimu huu ni hii. Game ni butua butua, sijaona zile 1,2 1,2. Wachezaji wa pande zote hawajiamini. Labda wanahofu ya mashambulizi ya kigaidi.
Depay my husband....
Woyoooooooooooooooooooo.....
Depay my husband....
Woyoooooooooooooooooooo.....
Moyo kuntuuuuuuuuuuuu......naona furaha yako
Hahaaaa hatimaye umekuja
hahaha lazima hiyo. leo ushindi muhimu sanaMoyo kuntuuuuuuuuuuuu......
naachaje kujaaaaaa..... ha ha ha
hahaha lazima hiyo. leo ushindi muhimu sana
second half tunawapiga lingineHa ha haaaaa halfu tym hiyooo......
Ha ha haaaaa halfu tym hiyooo......
second half tunawapiga lingine
ndo kilichobaki hichoTuwapige tuuuuuuuu hamna namnaaaa
Umeona goli la baby ako lilivo tamu ka mcharo!!!!
Tamu kama alilonipiga jana usiku chezeiyaaaaaaaa
Depay aukosha moyo wanguuuu...
Kituuuuu dimbwliiiiiiii qudadadeeeekkk chezea ka baby kangu wew