Ebana huu mpira wenu utakuwa unawapa BP mnatokea hapa mkiwa na uhakika hamtausumbua mioyo yenu. 1 attempt on target at 43 minute
Man Isipobadilika na kutengeneza nafasi za kufunga naona ugumu wa kupata nafasi 4 za juu
Ebana huu mpira wenu utakuwa unawapa BP mnatokea hapa mkiwa na uhakika hamtausumbua mioyo yenu. 1 attempt on target at 43 minute
GGMU wameshinda kwa possessions.
Hakuna tofauti ya timu ya Moyes na hii ya Van Gaal uwanjani...Bora Moyes hakuchezea hela za usajili kama Van.