Maajabu kama na nyie mtatolewa kama sisi na Chelsea. Anyway, hili kombe ni la watu ambao mmetoka kapa miaka ya miwili mitatu iliyopita.. ahahahahaha
Embu Niambie tatizo nini? Siko live....n
Tumia simu utapata option hiyo
Dah Martial nini tena
Huyu refa anataka Utd watolewe...........
Wala siipati hata kwa simu.... Hahahhaha Martial na Fellaini.... Vichwa vya panzi
Mkuu magoli leo yamegoma ni shidah