Nguvu ya ziada ilishapatikana baada ya mechi jana usiku..
Mimi ninasubili nione mkienda kwao tuone kama utapatikana humu
Hii mechi ya leo inabidi tushinde kwanza ili jumapili tuweke heshima jijini Manchester bila ya kipingamizi
Dah! Kwa kweli DDG alistahili kudengulia mkataba 
Hawa Warusi vipi tena? Mbona wameharibu jioni hii.. Kwa nini hawakutuomba jeshi Gabriel awasaidie kumficha Martial mfukoni.

Kuna kitu nataka kujua. Hivi hapa JF hakuna thread ya Premier league only? Naona Chelsea, Arsenal, Man Utd, Liverpool, Citey wasipocheza hapa panakuwa jangwa la sahara, yaani hakuna mtu anayeongelea mechi za timu nyingine. Tuwe tuna appreciate mechi nyingine pia sio hizo za top 5 tu.
Citey wanashinda mwishoni mwishoni.... 2-1 Sevilla. Jumapili lazima nitafute pa kuangalizia hii mechi yenu.