Baki hapa hapa mumy tusherekee ushindi wetu #timumburukenge walijua kila siku ni Ijumaa tutachapwa na Everton.....hahahahaha
Mim nataka kulala saa hzi mamito.
Full burudani leo.
Wahaooooo !!! nakuja tulale wote aiseee!!! Safi sana yaani hapo ni GLory glory Manchester United...
Umeadimika sana aiseee......
Umepotea njia?
Hivi huyu Jamie Vardy wa Leicester amekula nini??? Maana yupo moto balaa...katupia goli 2 leo tena...
Majukumu yamebana sana. Mzima lakini wewe?
tushereheke ushindi. kuna watu walichonga sanaMzima sana
Wapi cute b my pacha usikasirike hubby kuwa benchi hahahahhaha
Umeadimika sana aiseee......
Majukumu yamebana sana. Mzima lakini wewe?
hahahahaha walaChezea kile kichapo lazma majukumu yabane