Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe Bavaria weweeee ndo nini sasa ?utawaleta humu wajae kama nini, Anyway tushapoa tugange yajayo....
 
Last edited by a moderator:

Dah!! Huyu mzee anatuondolea wachezaji wetu wote wazuri.
 

HAHAHAHAHAHAHAH, EASY PAL, EASSSSY...

1.
http://www.theguardian.com/football/poll/2014/feb/26/david-moyes-manchester-united-manager-poll

HAO NI "THE GUARDIAN"

2.
http://www.mirror.co.uk/sport/football/news/new-manchester-united-boss-contenders-3438458

HAO NI "MIRROR"



THE POINT IS, MOST MANURE FANS WANTED KLOPP OVER LVG AND ANY OTHER AVAILABLE CANDIDATES KWA KIPINDI KILE.
 

Kweli wewe ni attention seeker kama alivyosema chifu Rrondo hapo juu.

Nimekuuliza maswali, wewe unaleta porojo. Hizo links ndizo zinajibu maswali niliyokuuliza?!?

Mimi nimeuliza juu ya taarifa uliyoileta. Maana hiyo inaweza hata kutengenezwa na maLoserfools.

Hata mimi naweza nikatengeneza online poll, kisha nikaonyesha kuwa maLoserfools yalitamani Maureen awe kocha wao.
 

lol, naweza nikatengeneza, lakin siyo za "the guardian" or "mirror".. ambazo ni za tangu April 2014,
 
ferguson afunguka kwanini hakumfukuza eric cantona man u baada ya kung fu kick mwaka 1995




kwa wale wasioijua manchester united, timu yetu uvumilivu wake hauna mfano wachezaji kama ferdinand, rooney, ronaldo na cantona wasingekuwa mahala leo walipo kama sio huu uvumilivu,

classic kick, classic player, classic manager
 
Thanks god de gea kabaki, jamaa anafanya saving za hatari kwenye hii game na Ukraine. Mata kavaa kitambaa cha uka-ptain alipoingia kuchukua nafasi ya fabregas

Martial Jana alikua ndio man of the match kwenye mechi yao ya kufuzu euro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…