tutakusuburi tukisherehekea ushindi wa man united
Mkuu nimejileta mwenyewe hongereni kwa pointi 3
Wewe leo utacheza na mimi kuch kuch otahe upende usipende.....
Game over.
3 points.
Mtani nasubiri nione mauno viuno vya kihindi.... Tena zitaenda kwa hisani ya Martial
asante sana. nilikuwa nakutafuta
dakika za mwisho ili mperampera sanaHahaaaa huwa sikimbii ..... Ila mmeponea chupuchupu
Toroka uje mtani nilikuwa nakusubiri kwa hamu
Najileta bila hiyana ...... Martial the boy is genius
Najileta bila hiyana ...... Martial the boy is genius
Hahaha mtani njoo tu......nipe matokeo yako plz