Daah!
Tumuombee dgo arudi mapema....kavunjika huyu
Huwa nashangaa sana UEFA kuna waamuzi 5 lakini ndio makosa ya kijinga yanaongezeka,Kuna penati wamepewa Madrid mpira ummemgonga mgongoni mchezaji wa Shaktar refa kaweka penati
Ama kweli mlikuwa mnamuhitaji DDG kuliko mnavyomuhitaji Rooney. Nyuma bado mpo mpo kwa sana. Beki ina kitete sijui kwa vile ni mechi ya kwanza UCL kwa muda mrefu? Mkiendelea hivi hivi UCL na katika ligi tutawasahau muda si mrefu.
leo nimemkumbuka sana Wayne Rooney.
BEK imekatika baada ya kutoka luke shaw kwan rojo kaingia kat na hajaelewana na smalling
Luciano Narsingh
💪💪💪💪💪💪
Dogo wenu Next Thierry Henry kafanya nini so far?
Ama kweli mlikuwa mnamuhitaji DDG kuliko mnavyomuhitaji Rooney. Nyuma bado mpo mpo kwa sana. Beki ina kitete sijui kwa vile ni mechi ya kwanza UCL kwa muda mrefu? Mkiendelea hivi hivi UCL na katika ligi tutawasahau muda si mrefu.
BEK imekatika baada ya kutoka luke shaw kwan rojo kaingia kat na hajaelewana na smalling
Asante Sheikh Yahaya ...
Hakuna u-sheikh Yahya wala nini. DDG ni bonge la kipa pia wa kutegemewa nadhani kuliko Rooney alivyo ndani.
Najikuta tu vidole vinanilazimisha kuandika hili jina Narsigh Narsigh Narsigh ila si maamuzi yangu
Btw poleni kwa kichapo mjipange game ijayo