Na unavyojua kupotea leo sijui utajificha wapi popote ulipo nitakuibua, juzi Kati malegend wetu wamewachapa malegend wenu 4-2 sasa sisi leo kipigo cha mbwa mwizi NNE KAVU........hahahahahaha #Davestays
Rooney games against Liverpool huwa anachemsha sana na recently performance yake imeshuka so kuumia kwake ni advantage kwa timu kwa sasa
It will not be easy,baada ya deal kucolapse hakuna uhusiano mzuri kati ya Man United na Madrid.As long as LVG na Woodward watakuwepo sidhani kama Madrid watakuja next season
De Gea anaondoka Summer...na Perez atakuja tena..
Ni kama LFC tu, baada ya Suarez kutaka kuondoka, na kufanikiwa kum-bakiza, wakampa mkataba mpya tena na mshahara wa 200k, but summer iliyofuata akaondoka kwa £75m, tofaut na ile £40m ambayo ndo ilikuwa price tag yake kabla hajasign new contract..
Wanachokifanya Man utd, ni kuhakikisha Price tag inapanda mara dufu. Na tayar kuna vitu watakuwa wame-muahidi De Gea, ndo deals zinavyofanyika kwa sasa..hapo ni hela tu ndo inayoangaliwa...Perez atakuja, na safar hii mkizingua, yatawatokea ya Sterling, itakuwa ni Man utd Vs De Gea's agent..
Its not easy na kuna tofauti kati ya issue ya Suarez na De Gea.Baada ya deal ku-collapse Madrid walitoa statement ya kuilaumu United wamesababisha na United wakajibu na kuilaumu Madrid na juzi Perez anasema viongozi wa United hawana experience na mambo ya usajili (hizi dharau) ndio zimemcost).United walitaka kuwanunua Varane na Bale Madrid nao wakagoma
Rooney games against Liverpool huwa anachemsha sana na recently performance yake imeshuka so kuumia kwake ni advantage kwa timu kwa sasa
wanafurahia Rooney kutokuwepo wakati mata anaewatesa kila mechi yupo fiti, rojo nae leo anaweza kuanza au kutokea sub.
19:30 eatmechi inaanza saa ngapi??
Come on Benteke mutoto ya kinshasa cheza mayenu kwasakwasa Old trafford.