Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Km hii ilivyo bomba?

attachment.php

Wape vidonge vyao watavinywa tu khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Duuuh 36milln kwa 19 years old duhh herrera vipi mkuu kuna usawa chicha mnamuacha aende mnaleta mtoto mdogo januzaj yupo nae ila bado mmeweka mzigo kwa dogo duuuh wazee kweli this time mnakazi
 
Last edited by a moderator:
Nimepitia facebook post kuhusu kuondoka kwa Chicharito kwenye page ya Manchester United. Kati ya comments 100, 80 wanasema LVG Out.
 
tumewapoteza de gea, rafael, januzaj, nani, di maria, van goal ,ch14 in one transfer window. WTF???
 
lvg anazingua haya mambo ya kucheza vizuri alafu kuishia kufungwa hatutaki... we becoming the next arsenal????
 
Fresh tu
 
Attachments

  • 1441050811247.jpg
    1441050811247.jpg
    21.9 KB · Views: 213
Nimepitia facebook post kuhusu kuondoka kwa Chicharito kwenye page ya Manchester United. Kati ya comments 100, 80 wanasema LVG Out.

Yaani watu wanaandika bana acha kabisa!!! Leo nimeamua kusoma Btn lines nifute stress za Swans, Huko FB na Twitter MUFC wana kazi leo, nimeiona hii nayo imenichekesha sana,

"LVG would sell his father & tell his mother it was a process"
 
Hahaha makubwa haya
 
hahahahaaa, hii transfer ya leo imeibua mengi sana, kuna mwingine kaandika eti lile katuni LA manchester (fred the red) eti nalo linaenda kwa mkopo west brome, Ed nae kawa loaned out kwenda man city.
 
LVG alibana juu ya kuuzwa kwa DDG kaachia mwenyewe. Sasa mnapata third hand gk navas
 
"LVG is a coach who is signning players who hv a dream of playing for man utd not players who have the quality of playing man utd"

"LVG will sell all man utd fans and sign new ones in the january transfer window"
 
LVG alibana juu ya kuuzwa kwa DDG kaachia mwenyewe. Sasa mnapata third hand gk navas

Madrid ndio wame give up wenyewe, hela tuliyokua tunaitaka ndio wameshatoa, sio hela ya maandazi waliyokua wanataka kutoa mwanzo.
 
hahahahaaa, hii transfer ya leo imeibua mengi sana, kuna mwingine kaandika eti lile katuni LA manchester (fred the red) eti nalo linaenda kwa mkopo west brome, Ed nae kawa loaned out kwenda man city.

Hahahaha! !!! Yaani leo ni vituko mimi hapa nakufa na cheko tu nikisoma comments za watu, kuna mwingine kaandika barua kwa SAF eti anamuelezea LVG ni baba wa kambo anayeitesa familia kama vipi anaomba Babu arudi tu, sasa jinsi anavyoelezea hizi transfers ndo watoto ambao LVG amewatesa yaani ni full burudani.....
 
Back
Top Bottom