Kwa maana hiyo unataka kusema tutakuwa ready kusubiri huyu Dogo Aimproved akiwa Man U....Je vipi kuhusu wakina Welbeck....Chicharito.....na wengine ambao walihitaji muda huo
Usiniambie deal clossed? .......kuna mahali nilisoma nusura nizimie eti 60M + Rojo........
Yaah dogo tayari...
Craig Norwood mpiga picha wa United amesema tayari 36M pauni na dogo ameruhusiwa na FFF kuacha kambi kuja Manchester kwa ajili ya medical na usajili
Hatuna kocha mkuu....Huyu LVG hakuna kitu kabisaa.
Level za Fargie huyu LVG hajafika kabisa... Academy product zote anaziuza wakati mwenzie Alikuwa anatesa na hao hao....kusema ukweli huyu mzee anaipoteza philosophy na transfer policy ya club. Mpka sasa ameshanunua zaidi ya nusu Xi eleven yake....still bado mapungufu yapo.
Nasubiri Nzi, DonDonald, herrera, Belo to concur na usemayo. Btw summer ya mwaka jana nina uhakika ulikuwa unasema tofauti na uyasemayo sasa. Palikuwa na vigelegele, vifijo na ngoma za kila kabila LVG aliposaini mkataba kubadilisha mawazo ya kwenda Spurs na kuja Manchester United. Msimu huu asipowaweka katika nafasi ya kugombea ubingwa ataharakishwa ku-retire then mwenye timu Giggs atachukuwa mikoba na kuwarudisha nafasi yenu ya 7 hahahaha.
Haya mama
View attachment 282402
Huyu Kocha anazeeka na mwazo yako sio bure Anawatoa mateenagers kwa mkopo au kuwauza kabisa halaf anaeleta immature kwenye timu hiyo...Huyu jamaa wenu balaa kinoma. Dogo wa miaka 19 afu ni foreigner ananuliwa kwa pesa nyingi zaidi ya Arsenal walizotoa kumpata Sanchez. Nani alisema Mzaramo hawezi kuuziwa mbuzi guniani mtaa wa Congo?
Nasubiri Nzi, DonDonald, herrera, Belo to concur na usemayo. Btw summer ya mwaka jana nina uhakika ulikuwa unasema tofauti na uyasemayo sasa. Palikuwa na vigelegele, vifijo na ngoma za kila kabila LVG aliposaini mkataba kubadilisha mawazo ya kwenda Spurs na kuja Manchester United. Msimu huu asipowaweka katika nafasi ya kugombea ubingwa ataharakishwa ku-retire then mwenye timu Giggs atachukuwa mikoba na kuwarudisha nafasi yenu ya 7 hahahaha.
Mimi huwa nasuport kocha yeyote atakayetua but msimu huu ni do or die kwa LVG ,sidhani kama ana kisingizio
Wachezaji bado hawajaelewa philosophy yake hasa Rooney, Smalling, Mata, Fellaini. Huwa inachukuwa miezi 3 kwa LVG kuonyesha vitu vyake katika kila timu anayokochi. Ndio kaanza kazi jana tu, mechi ya 4 mnaanza kumwagia mafuta ya taa. Vumilieni bana. Mnashindwa na Arsenal na Liverpool tulio na uvumilivu miaka nenda rudi.