Pole mtani ndiyo raha ya mpira ningekua karibu ningekupa leso .... Ligi bado haijachanganya mjipange sept 12 maana tutawapa tena maumivu ..... Nakuoneaje huruma ingawa unajikaza
Tushakuwa wateja wao tuite kina baba mbili moko. .........
Mtani ni rahisi sana kufungwa na Swansea kuliko kufungwa na LFC, hata utupeleke sasahivi uwanjani mtani tunakufunga........
Tehteh DonDonald Mie nakusalimia tu sinajengine mengine muulize Rubaman Gomis anatambaa Kama Lovren.Hahhahaha mtani hivi Gomis anashangiliaje vile
Mummy leo vibabu vyetu vimelala.......lol
Aiseeeee!!!!! Mko vizuri aiseee!!!! Hata mimi nimeona.....
Hahaa FA wangeruhusu tungepanga kikosi cha academy tu
Naombeni matokeo ya game ya leoπ
Hahaaaaaaa nani amenuna ..... Kwani kuna mtu kaibiwa..... Teeehe teeeehe GOMIS ... Manure eeeeh eeeeh manure
Naombeni matokeo ya game ya leoπ
Haaahaaahaaahaa at unasema
Hahhahahahha mtani mimi ni mgonjwa lakini nina afadhali naenda hata kwa Mangi kujinunulia panadol wewe uko ICU kabisa unapumulia Oxygen, mashine ikizima tu nishakupoteza.....lol
It is a fake results.......