I guess united inatakiwa iwe na another world class striker kwa maana ya kwamba tuna michuano minne ya kucheza. So on average kuna almost mechi 50 za kucheza kwa msimu huu. Kuanzia EPL, FA, UCL, Capital One.
Hii michuano ni mingi kwa sasa tunahitaji atleast wachezaji wawili au watatu kwa kila number.