Acha tu mkuu sijui !!!.....utasikia niliwaambia mtulie Magoli kwa Rooney yanakuja sasa hatuna shida tena ya striker.....maana kama keshatuambia Fellain naye striker kuna nini tena hapo? Tusubiri dirisha la mwakani.....naona lengo la kubeba UCL limeanza vizuri zaidi hahahahaha chezeiya LVG wewe na philosophy yake!!!! PC hii sitaki niikose kabisa ahahaha. ........GGMU