Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Herrera hii gemu ameingia na tension sana hajatulia flani confidence kwakiasi flani imepungua
karoho kanakudunda eeeh?!' safari yenu ndio inaishia hapo, ubeligiji hamna own goals ............
Club brugge2 Vs Manure0
You right mkuu....kukalia bench ukipata nafasi unataka kuji-prove.....na yellow card imemkata zaidi
But work rate yake naikubali
Kichomi cha leo ni dogo Januzaj simuoni....naona anarukaruka tu kama kindama
Huyu Januzaj apumzike acheze capital one cup
Tuko Port 2 sambamba na mteja wangu Arse8..Mlivyokuwa mid table mtapangiwa na kina Real,Juve wawatoe upesi ili mkutane na kina Liver Europa league
Hahaaa....haya baba mzee wa Round ya 16
Nyie hata kutoka katika group itakuwa miujiza
Mlivyokuwa mid table mtapangiwa na kina Real,Juve wawatoe upesi ili mkutane na kina Liver Europa league
Nyie hata kutoka katika group itakuwa miujiza