Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Memphis leo kaonyesha kwanini kanunuliwa kwa bei kubwa....Chris smalling ame improve sana....Luke Shaw nae anaonyesha kwa nini unitedwalitoa milioni kibao kumsajili! Kama leo ytimu ingekuwa serious hawa tungewafunga hata 5-0!!

Hongera kwa ushindi RRONDO
 
Last edited by a moderator:
Memphis leo kaonyesha kwanini kanunuliwa kwa bei kubwa....Chris smalling ame improve sana....Luke Shaw nae anaonyesha kwa nini unitedwalitoa milioni kibao kumsajili! Kama leo ytimu ingekuwa serious hawa tungewafunga hata 5-0!!

Pressure now kwa Rooney...jamaa sijui nini kinamkumba.
 
Angalau umeongea ukweli na sio kuwa kipofu, big dogs will have no mercy on you! Club Brugge ni kama Celtic Glascow!
 
Memphis leo kaonyesha kwanini kanunuliwa kwa bei kubwa....Chris smalling ame improve sana....Luke Shaw nae anaonyesha kwa nini unitedwalitoa milioni kibao kumsajili! Kama leo ytimu ingekuwa serious hawa tungewafunga hata 5-0!!

Kwa soka ya sasa £25m sio kubwa kumbuka Sterling £49,Benteke £32,Wellbeck 16m,Lalana 25. Kuna watu walimuita Shaw flop but niliwaambia Man United wamepata fullback wa uhakika kwa zaidi ya miaka 9,majeruhi tu yalimsumbua msimu uliopita
 
huwa napenda sana Bastian yeye akiingia kazi yake kubwa nikuwaelekeza vijana, muda mwingi utamuona anaelekeza na yeye pia akipata mpira huwa anautendea haki.

That what we are saying about experience.
Good job Bastian.
 
Romero bado hajiamini mara nying anaporudshiwa mipira na mabeki..ni muda wa rooney kukaa bench..chicha au wilson wapewe nafasi...fellain 10 ataimudu vzr kutokana na urefu wake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…