Safi sana big Fellain
Welcome to big men league. Lakini kwa mpira wenu mtaishia Europa League na kina Spurs , Liverpool
Huyu jamaa akiwa fit ningependa awe anaanza na Morgan tuwe tunamaliza game mapema, Carrick awe anaingia sub kazi ikiwa imekwisha
Pamoja na kutangulia 2-1 hili timu bovu aisee. Likivuka hapa linaenda kubomolewa mpaka basi.
Hii timu mbovu!
Welcome to big men league. Lakini kwa mpira wenu mtaishia Europa League na kina Spurs , Liverpool
Experience ya Bastian ni muhimu sana.
Akiongezeka na Thomas Mueller basi kazi imeisha.
We really need a deep and experienced squad.
Sasa hivi kila mechi ni jihadi.
Mkubwa waonee huruma wenzako..... mikakati yako itafanya wakaangasumu wasiwe wanakuja hapa
cute b aka Mrs. Memphis hongera kwa ushindi.
Huyu jamaa akiwa fit ningependa awe anaanza na Morgan tuwe tunamaliza game mapema, Carrick awe anaingia sub kazi ikiwa imekwisha
Mummy acha tu furaha niliyonayo yaani nilikuwa najisemea my wishes atleast tufunge tatu hata sijamaliza kitu kikajibu......hahhaahha shemeji buana kama leo hujajipiga sijui!!!......lol