Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa kweli pengo la striker limeonekana wazi pia depay na carrick game ijayo kam wangeanzia bench vile..
 
Kwani Captain hawezi anzia Benchi kidogo? Mimi naamini akikalia Benchi akili zitamkaa sawa....

Najua kwanini umeamua kumtoa rooney as a scape goat halafu ukamuacha Depay 😛😛

Kama Mungu asinge umba bahati sijui ingekuaje? maana Manure mnapenya penya tu

Btw. Hongera kwa 3 points na kuongoza ligi kwa masaa kadhaa
 
Mtani hata kipofu jana kaona Makosa ya Rooney si kwamba hatumpendi.
 
Ngoja tumuone tena,sisi sasahivi shida ni striker kuliko kitu chochote kile safu yetu ya ulinzi imeimarika sana, mtani nawe wacheza lini na nani nisafishe hapa matarumbeta yangu na ngoma kabisaaa....lol

Sawa mtani wametuchelewesha kukutana nanyi kweli

Jumatatu usiku na Bournemouth jiandae kushuka pale juu
 
Sawa mtani wametuchelewesha kukutana nanyi kweli

Jumatatu usiku na Bournemouth jiandae kushuka pale juu

Hahahhahahahhaahha! !! Ngoja kwanza tujifue zaidi, mtani wewe ushakuwa mteja wangu nitakuchapa tena,mechi ya jumatatu hainogi ila nitajitahidi nikuchungulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…