Manchester United (Red Devils) | Special Thread

siku nzuri sana leo kwa Herrera,
• ni bday yake.
•timu yake ya sasa utd imeshinda
•timu yake ya zamani (Bilbao) imeiangamiza barca goli 4.

hope siku yake imeisha vyema sana.
 
siku nzuri sana leo kwa Herrera,
• ni bday yake.
•timu yake ya sasa utd imeshinda
•timu yake ya zamani (Bilbao) imeiangamiza barca goli 4.

hope siku yake imeisha vyema sana.

Ni faraha sana kwake, nina imani atawapigia marsfiki zake kule atletico kuwapongeza.
 
Bado mnashinda kwa kuchechemea manyumbu utd,hamuingii top4😀😀
 
Ushindi ni ushindi tu hakuna mdogo wala mkubwa. Msimu uliokwisha Murinho alibeba ndoo kwa mechi nyingi kushinda goli moja tena wakati mwingine alisubiria kibao kimoja dakika za jioni.

Afterall hii ndiyo staili ya Man U kuanza kama haitaki na kugain momentum as league goes on....tukutane hapa Christmass & New year time ndiyo watamfahamu Red Devil ni nani.
 
Sio anapangwa kisa captain kocha wenu kiazi anashindwa mtumia, sasa anamwekea rooney ka januzaj ndio kamchezeshe kweli:what::what: THINK BIG
 
Mimi ni mwanaume, naona umekoswa maadili, aint here to argue with the hoodrat

Uwe na heshima. ......next time ukija humu uje kuchambua mpira sio kutukana watu, hata sisi tunayo maneno ya kuudhi. ...Haya nenda kalale
 
Uwe na heshima. ......next time ukija humu uje kuchambua mpira sio kutukana watu, hata sisi tunayo maneno ya kuudhi. ...Haya nenda kalale

Mbona man u wenzako wanakuja kwenye thread yetu na hatuwakashfu kiasi hiki, mpira sio ugomvi asee, hicho nilichofanya ni part ya football
 
Mbona man u wenzako wanakuja kwenye thread yetu na hatuwakashfu kiasi hiki, mpira sio ugomvi asee, hicho nilichofanya ni part ya football

Huwezi kuita watu manyumbu. ...huo sio mpira
 
tunashukuru tumeshinda poibts tatu muhimu sana. mkuu Bavaria mambo ya picha tafadhari
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…