Mjomba si umeona kulia kwa fletcher na gnev tunavyopwaya... I hope hii itakuwa mechi ya mwisho ya gnev ndani ya jezi ya man utd jamaa ni liability. Naona boss kabadilisha formation hapa tuone kama itafanya kazi.

80% ya pasi zetu zimekuwa INCOMPLETE....kazi kwelkweli. Hyo Neville leo aibu. Obetan naye pasi za mwisho leo anaharibu kishenzi. Hope 2nd half tutarud kivingine.