Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nashukuru kwa mwanzo mzuri katika EPL nadhan msimu huu man u maandaliz yako sawa tuna kila sababu kurejesha mataji
 

mkuu kwa kikosi cha Manchester hiki tunauwezo hata wa kuchukua ligi, karibu kwenye kila namba tunawachezaji zaidi ya mmoja, lakini tatzo kubwa tulilonalo kwa sasa ni van gaal, to be honest nimepoteza imani kabisa na huyu mzee, sijajua kwann huyu mzee amekua mkaidi kiasi hiki. last season kawachezesha wachezaji off position alisingizia ufinyu wa kikosi, Leo hii anamchezesha mata RW na depay kama #10 wakati hyo in namba ya mata original, game ya juzi depay kaonekana flop 7bu haikua namba yake + ugeni wa ligi. tunamlaumu R10 kuwa alijisahau alikua anarudi sana nyuma lakini mi sioni kosa lake maana kama wakumlisha mipira (depay) hafanyi kazi yake ilibidi yy ndio arudi kuitafuta,
anasema hawezi kum-drop young sababu yupo kwenye kiwango chake, mbona Herrera anamuweka benchi? nani asiyejua kuwa huyu dogo kwa sasa yupo vzuri? kipofu gani ambae hakuuona utatu mtakatifu wa Herrera, mata na Valencia? sio lazima wote (young na depay) waanze, mmoja anatakiwa amsubiri mwenzake, tusije tukashangaa anakuja kumchezesha Morgan kama beki, na de gea kama forward.
sijaongea swala LA blind kucheza kama CB coz alisema rojo hakua vzr kwa ile mechi, ngoja tuone mechi ijayo wakati rojo kawekwa benchi na blind kaanza.
#timewilltell .
 
Honestly...kwa perfomance ya juzi sijaona lolote jipya kwa timu yetu...ni yale yale tu, huyu LVG sijui kama atatuletea mafanikio yoyote!!!


Naona wenzetu pamoja na kushinda habari yenu ndiyo ile ile ya misimu 2 iliyopita. Mnachoongelea nimekisikia pia katika forums zingine za Manchester Utd wenye timu wanamlalamikia LVG. Anyway kama Nzi alivyosema mechi za mwanzoni hazitowi picha ya ligi itakavyokuwa. Lakini juzi mlicheza kwa pace kama ya zamani. Jinsi ligi inavyoendelea inaelekea mtakuwa tofauti na misimu miwili iliyopita.
 
° Barca sport director has confirmed
to TV3 (bein)that Pedro wants to leave.


Robert (director): "Pedro said he
wants to go, we want him to stay,
up to him. This could be his last
game. 30M won't be lowered"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…