Title race msimu huu ni
City
Chelsea
Arsenal.
United na Liverpool wao vikosi vyao si vya kushindania ubingwa. Wao wanashindania top 4 ambayo timu kama spurs, Everton na hata soton wanaweza kupata hizo nafasi, wanavikosi vyenye ubora sawa na vyao.
Umecopy msimamo wa msimu wa mwisho liverpool kukaa hapo.
Nadhani ulikuwa hujazaliwa. Au ulikuwa kwenye kirodani.
Yaani imebidi nicheke tu...eti nilikuwa sijazaliwa!!! Duh.
Laiti ungelijua...
Kwa mnaoangalia mpira.
Tunaomba assessment ya first half.
Wapi pamepwaya? Nani hayupo kwenye form? Formation iliyotumika ni ipi?
Siyo mchambuzi sana ila nitajaribu naona mpira unachezwa sana kati,mpira haufiki mbele vizuri, Herrera anahitajika kuingia haraka iwezekanavyo.
Kwa mpira huu niliouona, hivi wale wabelgiji mtawaweza kweli? Hehe napita tu kwa amani.
It's 1-0 at halftime as OG from Walker gifts Manchester United a lead. It was Rooney's goal, that he should have scored... The goal has also changed United, giving more possession and domination as Sergio Romero is tested and Memphis Depay is still searching while Mata is doing better as #10 rather than on the wing. The Wingbacks Shaw and Darmian have been great, with Matteo being sensational... Let's just say our problem is more upfront than the defence. Are you watching the game? Comments?
Imekuwaje Luke Shaw ameachia jezi na. 3 na kuchukua 23? na namba 2 inamsubiri Ramos?