Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Imekuwaje Luke Shaw ameachia jezi na. 3 na kuchukua 23? na namba 2 inamsubiri Ramos?
 
Top four 2015/2016:

1.Liverpool FC
2.Manchester United FC
3.Chelsea FC
4.Arsenal FC

Mje kunibishia May 2016!

Umecopy msimamo wa msimu wa mwisho liverpool kukaa hapo.
Nadhani ulikuwa hujazaliwa. Au ulikuwa kwenye kirodani.
 
Kwa mnaoangalia mpira.
Tunaomba assessment ya first half.
Wapi pamepwaya? Nani hayupo kwenye form? Formation iliyotumika ni ipi?
 
Top four 2015/2016:

1.Liverpool FC
2.Manchester United FC
3.Chelsea FC
4.Arsenal FC

Mje kunibishia May 2016!

Title race msimu huu ni
City
Chelsea
Arsenal.

United na Liverpool wao vikosi vyao si vya kushindania ubingwa. Wao wanashindania top 4 ambayo timu kama spurs, Everton na hata soton wanaweza kupata hizo nafasi, wanavikosi vyenye ubora sawa na vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…