Hii siyo official niliiona mahali ndo mkuu akaniomba niidondoshe hapo kwa jinsi ilivyo hapo ina maana itakuwa 4-2-3-1, tusubiri official Line-ups muda si mrefu itatoka ......lakini LVG si alishatangaza kwamba safari hii ni 4-3-3.
Ni kweli hatuna CB but van g asijetuletea simanz tena msimu huu. Tumeonewa sana, tumedhalilishwa sana, tumesikitishwa na matokeo mengi yaliyopita.
Msimu huu tunataka heshima irudi mahala pake.
Over
Romero siyo mbaya kwa kweli kuna wakati huwa anafanya amazing fulani,nami kuna mahali nimeona first eleven yetu GK atakuwa Johnstone Ngoja tusubir ile ya official line up.