Si muende kwenye majukwaa yenu mtuachie team yetu wenyewe tujadili...wewe team yako nzuri ila kutwa kuja kwa mwenye team mhovu...Ma-haters naona mnachukia kuona jua kuchomoza kwetu wakati kwenu linazidi kuzama kama mpo pluto. Nipo active hapa kwa sana hata kabla ya kumpiga Chelsea juzi. Nafurahia kuona baadhi yenu mmeanza kuona jinsi gani LVG anavyoshindilia kapu la pension lake. Nakapanya aliwaambia juzi juzi kuwa LVG anawalostisha mkamjia juu lakini jinsi siku zinavyozidi kwenda wengine wanaanza kukubaliana na Nakapanya
CC everlenk, DonDonald
Si muende kwenye majukwaa yenu mtuachie team yetu wenyewe tujadili...wewe team yako nzuri ila kutwa kuja kwa mwenye team mhovu...
Sio kwamba jamaa anawadiss jamaa ansema kweli mze anawalostisha
Ndio mtuache na team yetu hata kama anatulostisha nyie kinawauma nini?Sio kwamba jamaa anawadiss jamaa ansema kweli mze anawalostisha
Kinachowafelisha ni kutotambua source ya tatizo la kuvurunda mnajipa moyo kwa kudai mkisajiri mambo yatakua Sawa nakumbuka last season mlisema haya haya so Leo mnadai ya last season mnasahau tatizo ni LVG
Di maria anasema et psg ni team kubwa kuliko man u kumbe ni mjinga sana...
3 match ban kwa mchezaji yeyote premier league who caught diving
Kinachowafelisha ni kutotambua source ya tatizo la kuvurunda mnajipa moyo kwa kudai mkisajiri mambo yatakua Sawa nakumbuka last season mlisema haya haya so Leo mnadai ya last season mnasahau tatizo ni LVG
MAN UTD,BARCELONA AGREE PEDRO DEAL
A £22.3 million (32m) fee has been agreed between the two clubs, but the Catalans are keen for the forward to stay with them until after the Uefa Super Cup next Tuesday
By Kris Voakes & Ignasi Oliva
Manchester United and Barcelona have reached agreement over the transfer of Pedro, but the Champions League holders are keen to retain the player until after next week's Uefa Super Cup.
The two sides have settled on a transfer fee of £18.1 million (26m) initially, with a potential further £4.2m (6m) to be paid in variable bonuses.
But the European champions face Europa League winners Sevilla in the traditional season curtain-raiser in Tbilisi on Tuesday, and want to be able to call upon Pedro to play a part.
Lionel Messi and Neymar have only recently returned from an extended break following their Copa America commitments, and neither is likely to play a full 90 minutes in the Super Cup clash.
As a result Pedro is likely to play a significant role before finalising a move to Old Trafford, meaning United will begin the Premier League season against Tottenham on Saturday without the 28-year-old in the squad
Manchester United and Barcelona News: Pedro fee agreed ahead of summer transfer - Goal.com
Mtani uchokozi gani Kutolea mfano mchezaji wetu? Kwanini usiweke wa Kwenu....lol
David de gea, Marcos rojo na Bastian wote kesho hawachezi, inamanisha blind atacheza kama CB. hahaaaaa golini atakuwepo johnstone
Uefa Champions League Draw
Man Utd vs Club Brugge
Safi sana.
Siyo mbaya hope we will make it....