Aisee una kiburi cha kuongea hivi kwa kumfunga chelsea moja bila au ni nini kinakufanya uwe kiburi? Mimi nimekuuliza kwa hiyo unamshauri wenger asisajiri? Jibu ili niihifadho comment yako alafu kabla ya januari nikukumbushe
Aisee una kiburi cha kuongea hivi kwa kumfunga chelsea moja bila au ni nini kinakufanya uwe kiburi? Mimi nimekuuliza kwa hiyo unamshauri wenger asisajiri? Jibu ili niihifadho comment yako alafu kabla ya januari nikukumbushe
Tunajua ndio mana
Sasa nakuambia hivi wenger huu ndio msimu wake wa mwisho na hasa pale atakapojikuta katoka namba tatu mpaka kurudi nafasi yake ya nne
Kwanini uumie roho arsenal kuwa sawa
Mimi siumi roho ila nakushangaa wewe umeenda Old Traffod na kuchukua kipaza sauti na kusema "Arsenal ipo vizuri kuliko Man U" vinginevyo uwe umechanganyikiwa Traffod ukahisi ni Emirates
Tusikimbiane hapa
Mbwa mkimbize kokote uko mtaani atakimbilia kwao na akifika kwao ata kama uyo mbwa ni koko basi wewe ni heri usisogee pale kwao maana hatokua na pa kukimbilia zaidi na kitakachofuata ni wewe kushangazwa jinsi anavyokua mkali. Hapa nilikua namaanisha nitakimbia majukwaa mengine uko lakini sio hapa "HOME"
Kinachowafelisha ni kutotambua source ya tatizo la kuvurunda mnajipa moyo kwa kudai mkisajiri mambo yatakua Sawa nakumbuka last season mlisema haya haya so Leo mnadai ya last season mnasahau tatizo ni LVG
Wew ndo roooo***ooboo kweli...tuache na united yetu...ivi.kwanin ww povu linakutoka!??
Ma-haters naona mnachukia kuona jua kuchomoza kwetu wakati kwenu linazidi kuzama kama mpo pluto. Nipo active hapa kwa sana hata kabla ya kumpiga Chelsea juzi. Nafurahia kuona baadhi yenu mmeanza kuona jinsi gani LVG anavyoshindilia kapu la pension lake. Nakapanya aliwaambia juzi juzi kuwa LVG anawalostisha mkamjia juu lakini jinsi siku zinavyozidi kwenda wengine wanaanza kukubaliana na Nakapanya
CC everlenk, DonDonald
Di maria anasema et psg ni team kubwa kuliko man u kumbe ni mjinga sana...
Hahahahaha yaani wewe rubaman na Wenger wako wala hamnipi presha kabisaaaaa!!!, umeshinda juzi ishakuwa tabu hatuli hatunywi nyimbo ni tuko vizuri, safari ya matumaini nishakupa baraka zangu katika hilo sina tabu kabisa nawe.
Nina imani na timu yangu hizi nyimbo zenu wasagasumu tushazoea, die hard fan yoyote wa Man U hana presha, kila mtu ni mtazamo wake anavyoona........halafu nasikia Wilshere atakosa miez 3 mshaanza Majeruhi kama kawaida yenu safari ya matumaini itaendeka kweli??
Asa ulitaka asemaje? Kwa mfano??
Harry Kane kusajiliwa muda wowote kutokea sasa kwa £40m
Harry Kane kusajiliwa muda wowote kutokea sasa kwa £40m